Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) itachukua majukumu yote ya shughuri za kuhudumia shehena zilizokuwa zikihudumiwa na Kampuni ya Kimataifa ya huduma za makasha Tanzania(TICTS) kuanzaia tarehe 01 Januari ,2023,Hivyo basi taarifa zote muhimu zinazohusiana na TICTS zinapatikana kwenye menyu ya Kituo cha Wateja hapo juu.