
Tunafanya kazi kwa karibu sana na kushirikiana na wadau mbalimbali zikiwemo taasisi za serikali, kampuni za meli na benki kupata huduma zetu kwa urahisi kadiri iwezekanavyo na kufuata sheria na kanuni zote zinazohusu kusafirisha na kuingiza bidhaa kupitia bandari zetu.
Taasisi Nyingine za Kiserikali
- Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
- Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA)
- Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC)
- Tanzania Zambia Railway (TAZARA)
- Shirika la Viwango Tanzania (TBS)
- Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA)
- Wakala ya Vipimo na Mizani (WMA)
- Benki Kuu ya Tanzania (BOT)