Bandari ya Tanga na Bandari nyingine za Bahari za Kaskazini

Tanga ni bandari inayotoa huduma kwa muda mrefu sana Afrika Mashariki. Bandari hii inatumia malighafi kwenye magati mawili ya kina kifupi meli za usafiri baharini hutia nanga kwenye maboya ya mkondoni kama sharti la usalama wa baharini. Safari ya barabara ya umbali wa kilomita 354 inaiunganisha na bandari ya Dar es Salaam upande wa kusini. Bandary ya Tanga ipo Kaskazini ya Tanzania. Karibu na mpaka wa Kenya mipaka yake ni Lat 05°, nyuzi 00.58 long 0.39 nyuzi 09.5 E hadi meridian ya long 39 nyuzi 15°E usawa wa nyuzi 180 sambamba na lat 05’S na halafu nyuzi 270 upande wa bara.

Sifa za Bandari

Sifa zake zinabainishwa na vipengele vifuatavyo:-

 • Mahali
 • Ukubwa
 • Ujumuishaji logistiki
 • Huduma za baharini
 • Utaalamu maalumu
 • Ufikaji baharini na bara
 • Miundombinu ya bahari

Kwa kawaida kila bandari ina sifa za pekee na hivyo kuwa na athari kuu katika utendaji na ufanisi wa bandari. Zifuatazo ni sifa za bandari ya Tanga:

 • Bandari ya Tanga eneo la mwambao wa Kaskazini wa Tanzania karibu na mpaka wa Jamhuri ya Kenya iko kwenye nyuzi 5.050633 Kusini /135.12609 Mashariki
 • Ipo mahali pa kimkakati kuhudumia mikoa ya Kaskazini ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Kanda Ziwa na nchi za jirani za Rwanda, Burundi, sehemu ya Kaskazini ya Uganda
 • Ni bandari ndogo kwa eneo na wingi wa shehena zinazoshughulikiwa kwa mwaka
 • Ni bandari inayotumia matishali yenye kina kidogo kwenye gati kuu. Meli hazitii nanga kwenye ghuba ya ndani Tanga na usafirishaji wa shehena kutoka na kwenda kwenye meli hufanywa kwa kutumia mashua za mizigo na maatishali kwa kusaidiwa na boti za kuvuta matishali
 • Ina mlango bahari mpana wenye kina unaopitisha meli yenye kina chochote
 • Haia kipingamizi cha maji kupwa na kujaa kwa meli zinazoingia na kutoka bandarini
 • Uongozaji wa meli unafanyika mchana tu.
 • Ina ghuba ya asili iliyokingwa kwa huduma za meli
 • Uteremshaji na upakiaji mizigo mkondoni unategemea winchi/kreni za meli tu.

Nyenzo za Bandari

Ukuta wa Gati

Bandari ya Tanga ina ukuta wa gati la kisasa wenye urefu wa mita 381 unahusu wa kwanza na wa pili. Ukuta wa kwanza ulikuwa na urefu wa mita 240 ulijengwa mwaka 1918 na sehemu iliyobaki mwaka 1954.

Vifaa

Vifaa vya bandari ndiyo uhai wa bandari. Bila ya vifaa hakutakuwa na shughuli za bandari. Bandari ya Tanga ina kundi la vifaa kama ilivyoorodheshwa:-

 • 2Nos. Habours Mobile cranes with lifting capacity of 63 tons each.
 • 2Nos. Tugboats christened Elizabeth Luhigo and Mwambani
 • 3Nos. Cargo barges – Tanga 01, 02 and 03 each with capacity of 3,500 tons
 • 1No. Cargo Lighter with capacity of 600 tons
 • 5Nos. Pantoons for cargo transfer
 • 1No. Empty Container Handler – 12 tons capacity
 • 2Nos. Reachstackers for handling of full container with a capacity of 40 tons
 • 4Nos. Terminal tractor for longitudinal transfer of cargo
 • 2Nos. Forklifts with bale clamp attachment for handling of sisal fibres
 • 7Nos. Standard Forklifts:- 4Nos. Forklifts each with a capacity of 3 tons each and
 • 3Nos. Forklifts each with a capacity of 5 tons.
 • 27Nos. Terminal Trailers:– 14Nos. Terminal Trailers with a capacity of 40tons each 13Nos. Terminal Trailer with a capacity of 20Tons each.
 • 2Nos. Fire Tender trucks equipped with firefighting equipment
 • 1No. Mooring Boat for mooring and unmooring of ships at the buoys and berth
 • 1No. Labour Launch for ferrying stevedoring personnel to and from the vessel at Stream
 • 2Nos. Weighbridge for weighing cargo in the port both imports and export
 • 1No. Cargo scanner for scanning of imports and export carto passing through the port for security and improve revenue collection
 • 3Nos. Cargo Sheds for storage of cargo temporally
 • 1No. Ro-Ro Ramp for passenger vessel services
 • 2Nos. Hoppers for handling of bulk cargo
 • 2Nos. Grabs Electrical operated for handling of bulk cargo.

Nyenzo za Kuhifadhia

Bandari ya Tanga ina mabanda matatu yaliyoezekwa kwa ajili ya shehena zinazoathiriwa na hali ya hewa.

 • Eneo liliwekwa lami au zege uwanja wa makontena kwa kuhifadhia makontena na shehena nyingine zisizohitaji kufunikwa lenye mita za mraba 16,430.
 • Eneo lisiloezekwa lenye mita za mraba 5200 kwa ajili ya kuhifadhia shehena za kawaida (shehena zisizoathiriwa na hali ya hewa).
 • Mabanda yaliyoezekwa yenue eneo la mita za mraba 13,800

Uwezo wa sasa

Uwezo wa sasa wa bandari ni kushughulikia tani 700,000 kwa mwaka. Uwezo huu umepitwa na namba 2015/16 ambapo bandari ilishughuliwa tani 845,000 kwa mwaka.

Uwezo Uliyoboreshwa

Uwezo wa sasa ulioboreshwa ni tani 1,201,000 kwa mwaka. Muhtasari wa miradi inayotekelezwa Tanga.

Maelezo ya Mradi uliofanyika katika bandari ya Tanga

1. Ukarabati, uwekaji mipira na Cathode kuzuia kujigonga kwenye kingo za gati na 2
Kazi hiyo ilikabidhiwa mkandarasi Septemba mwaka 2016 na kutarajiwa kukamilika 30 Juni 2017. Hali ya mradi umefikia utekelezaji kwa 50% ikilinganishwa na 120% ya muda kumalizika. Mkandarasi alikuwa anaendelea kukamilisha mita 120 ziilizobaki hadi Novemba 2017.
2. Ujenzi wa barabara ya lami geti na. 2
Mkandarasi alishakabidhiwa eneo la ujenzi na kazi inaendelea na kukamilika ndani ya miezi 6. Mkandarasi Hamfet Singh ameanza uchimbaji wa kina wa barabara iliyoharibika na kukusanya kokoto na changarawe.
 

Mawasiliano

Meneja wa Bandari Tanga,
Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA),
Bandari House
S.L.P 443,
Tanga, Tanzania

Simu +255 (27) 2643078
Faski: +255 (27) 2642360
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.