TPA YASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MABAHARIA, DUNIANI ZANZIBAR
1 Juillet 2025
Viongozi na Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wamejitokeza kwa wingi kutembelea banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika maadhimisho ya Siku ya Mabaharia Duniani, yanayofikia kilele chake Juni 25,2025, katika Viwanja...
Dis m'en plus