NAIBU WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO ATEMBELEA BANDA LA TPA...
06 July 2025
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Hamis Mwinjuma amewataka Watanzania kutumia ushiriki wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa kama fursa ya kuuliza na kupata majibu...
Tell Me More