Huduma za Shehena
Gati la Mafuta la Kurasini
Kituo cha Makasha

Habari Na Matukio

NAIBU WAZIRI WA BIAHSARA WA CHINA YAFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA UCHUKUZI...

28 Aprili 2025

Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China imeahidi kuendeleza ushirikiano utakaochangia kuimarika na kuukua kwa sekta ya Uchukuzi baina yake na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hususani bandari na reli kupitia mpango kazi wa FOCAC. Hayo...
  Soma Zaidi
MABALOZI WAPYA WAFANYA ZIARA YA KIKAZI TPA

28 Aprili 2025

Matukio mbalimbali katika picha wakati Mabalozi wapya wanne, walipofanya ziara ya kikazi Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ili kujifunza shughuli za utekelezaji Bandarini na kufahamishwa masuala muhimu yatakayowasaidia katika nchi wanazokwenda kuiwakilisha Jamhuri...
  Soma Zaidi