Bandari Kavu
TPA BANDARI KAVU (ICD)
| SIFA BAINIFU | BANDARI KAVU UBUNGO | BANDARI KAVU KWALA | 
|---|---|---|
| Uwezo kwa Mwaka (Tani) | 2500 TEUS | 3500 TEUS | 
| Huduma Zinazotolewa | Kusimamia usafirishaji wa shaba nje ya nchi | Kushughulikia mizigo iliyokaa muda mrefu | 
| Eneo la Hifadhi: | ||
| Eneo lenye kivuli (Sqm) | 18,605 | Hakuna | 
| Yadi (Sqm) | 87,010 | 600,000 | 
| Eneo lililopigwa lami (Sqm) | 39,506 | 50,000 | 
| Eneo lisilopigwa lami (Sqm) | 28,899 | 550,000 | 
| Vifaa vya Uendeshaji: | ||
| Foko (3-5 Tani) | 2 | 2 | 
| Mitambo ya kubeba makasha (aina ya Reach Stacker) | 1 | 2 | 
| Trela | Hakuna | 2 | 
| Malori | Hakuna | Hakuna | 
| Matrekta ya Kuhamisha Mizigo Bandarini (TT) | Hakuna | 1 | 
| Miradi Inayoendelea | Imepewa kwa msafirishaji wa shaba MS BRAVO GROUP | Awamu ya kwanza inaendelea, ikisubiri awamu ya pili | 
| Mipango ya Baadaye ya Upanuzi | Kupata ardhi mpya na kusubiri mkataba wa upangaji umalizike | Kupunguza msongamano wa Bandari ya Dar es Salaam kwa kuongeza bandari kavu | 
TPA Inapanga Kuendeleza Bandari Kavu Nyengine zilizoko:
- lhumwa (Dodoma)
 - Fela (Mwanza)
 - Katosho (Kigoma)
 - Kurasini (Dar Es Salaam)
 - Isaka (Shinyanga)
 
KITUO CHA USAFIRI WA MAKASHA (CFS)
| SIFA BAINIFU | EX NASACO | 
|---|---|
| Uwezo kwa Mwaka (Tani) | 300,000 | 
| Huduma Zinazotolewa |  
  | 
| Eneo la Hifadhi: | |
| Eneo lenye kivuli (Sqm) | 5,251 | 
| Yadi (Sqm) | |
| Eneo lililopigwa lami (Sqm) | 29,436 | 
| Eneo lisilopigwa lami (Sqm) | Hakuna | 
| Vifaa vya Uendeshaji: | |
| Foko (3-5 Ton) | 8 | 
| Mitambo ya kubeba makasha (aina ya Reach Stacker) | 1 | 
| Empty Handler | 1 | 
| Trela | 9 | 
| Daraja la kupima uzito | 1 | 
| Trekta za Terminali | 3 | 
| Trela | 8 | 
| Malori | 7 | 
| Miradi Inayoendelea | Hakuna | 
| Mipango ya Baadaye ya Upanuzi | Hakuna | 
                                                EN                    
                                                SW                    
                                                FR                    
                        
                        
        
                    TPA ChatBot - "Nahodha"