BALOZI WA URUSI AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA BANDARI YA MTWARA
09 September 2025
Balozi wa Urusi hapa nchini Mhe. Andrey Avetisyan, ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuendelea kuiboresha Bandari ya Mtwara, inayoendelea kutoa huduma bora na...
Tell Me More