Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Plasduce Mkeli Mbossa, akiwa Katika kipindi cha TUNATEKELEZA kupitia TBC 1, akitolea ufafanuzi wa masuala kadhaa kuhusu mageuzi makubwa yanayofanyika katika uendeshaji wa  Bandari nchini, tarehe 11 Juni,2025