Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wote wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) tunaungana na Wateja, Wadau na Umma kwa ujumla kuadhimisha kumbukizi ya Siku ya Nyerere.

 Tunaendelea kuuenzi daima mchango wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, katika maendeleo ya Taifa letu, kwa kuendelea kuboresha zaidi huduma za Kibandari ili kuongeza mchango wa Taasisi hii katika maendeleo ya Taifa na Nchi zinazohudumiwa na Bandari zetu.

#tpa#sikuyanyerere#nyerereday#kumbukiziyamiaka26