Select your language

Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa( Mb) tarehe 11 Julai, 2026, amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Bandari mpya ya Mbamba Bay, iliyopo Wilaya ya Nyasa, Mkoa wa Ruvuma.