MABALOZI WAPYA WAFANYA ZIARA YA KIKAZI TPA
28 April 2025
Matukio mbalimbali katika picha wakati Mabalozi wapya wanne, walipofanya ziara ya kikazi Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ili kujifunza shughuli za utekelezaji Bandarini na kufahamishwa masuala muhimu yatakayowasaidia katika nchi wanazokwenda kuiwakilisha Jamhuri...
Tell Me More