TPA YASHIRIKI KATIKA KIKAO CHA WADAU KUHUSU UTHIBITISHAJI WA TOZO ZA HUDUMA ZA KIBANDARI, KILICHOANDALIWA NA SHIRIKA LA UWAKALA WA MELI TANZANIA
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Disemba 11 ,2025, imeshiriki kikao cha Wadau kuhusu uthibitishaji wa Tozo za huduma za Kibandari, kilichoandaliwa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).
Kikao hicho cha siku moja kimefanyika Jijini Dar es Salaam, kikiwa na lengo la kukusanya maoni kutoka kwa umma na wadau wa bandari kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya tozo za huduma za Kibandari.


EN
SW
FR
TPA ChatBot - "Nahodha"