KIKAO CHA 59 CHA BARAZA DOGO LA MAJADILIANO (JIC)
Baraza Dogo la Majadiliano (JIC) la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) tarehe 2 na 3 Oktoba 2025, limefanya kikao cha Hamsini na tisa (59) kilichofanyika mjini Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Kikao hicho cha Baraza kimeongozwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu Mha. Dkt. Baraka R. Mdima.


EN
SW
FR
TPA ChatBot - "Nahodha"