KIKAO CHA 33 CHA KAMATI YA MABORESHO YA BANDARI (PIC)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Prof.Godius Kahyarara ameongoza kikao cha 33 cha Kamati ya Maboresho ya Bandari (PIC) kilichofanyika Novemba 28,2025 Makao Makuu ya TPA jijini Dar es Salaam.
Kikao cha Kamati hiyo ya Maboresho ya Bandari (Port Improvement Committee) hukutanisha Taasisi na Wadau mbalimbali wanaotumia bandari kikilenga kujadili utekelezaji wa changamoto mbalimbali katika sekta ya Uchukuzi na kuzipatia ufumbuzi.


EN
SW
FR
TPA ChatBot - "Nahodha"