Sélectionnez votre langue

Service de Fret
Jet d'huile Kurasini
Terminal à Conteneurs

Nouvelles

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA KATIKA BANDARI YA LINDI

22 Décembre 2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwa katika ziara yake inayoendelea Mkoani Lindi, tarehe 21 Disemba 2025 ametembelea Bandari ya Lindi na kujionea shughuli mbalimbali za utekelezaji katika Bandari hiyo. Katika ziara...
  Dis m'en plus
WAZIRI MBARAWA ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA BANDARI MPYA YA...

22 Décembre 2025

Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari Mpya ya Kisiwa Mgao, mkoani Mtwara, ambao umefikia asilimia 25 ya utekelezaji wake.  Akizungumza baada ya ziara yake ya kutembelea...
  Dis m'en plus