Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara atembelea Banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzana (TPA) wakati wa maonesho ya sita ya teknolojia ya Madini yaliyofanyika katika viwanja vya EPZA Bombambili Mjini Geita.