Select your language

Mheshimiwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdoe Mpango, Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa na ujumbe wake walisimama nchini DRC mji wa Lubumbashi, hivyo  taasisi za Tanzania, wafanyabiashara na diaspora  waliopo Congo tulipata fursa ya kumsalimia tukiongozwa na Ubalozi mdogo Lubumbashi. 

Get In Touch

For any inquiries or support, contact us 24/7
0800-110032
P.O Box 9184 Dar es salaam
dg@ports.go.tz
255 22 2130390

News & Updates DRC

WAFANYA BIASHARA KONGO KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA TPA

25 September 2026

Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imekutana na ujumbe kutoka Chama cha Wafanyabiashara wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Business Congolese Internationale – BCI), katika kikao kilicholenga kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na...
  Tell Me More
TPA YAPONGEZWA NA MJUMBE WA BODI YA CRDB KWA JUHUDI ZA KUPANUA...

01 July 2025

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Bw. Charles Carley, ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa juhudi madhubuti za kupanua wigo wa soko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),...
  Tell Me More