Do You Need any Assistance Please Call our Toll Free Number Now/Je Unahitaji Msaada Wowote wa Huduma za Bandari? Tafadhali Tupigie Namba za Bure Sasa: 0800-110032/0800-110047

DSC 0343

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Mhe. Angela Kairuki (wapili kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano Mhe. January Makamba (watatu kushoto) wakifika kwenye Ofisi za TPA kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani na Wafanyakazi wa TPA.

DSC 0346

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Mhe. Angela Kairuki (wapili kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano, Mhe. January Makamba (watatu kushoto) wakiingia ukumbini kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Fedha, Bi. Nuru Mhando na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria, Bi. Leticia Mtaki.

DSC 0349

DSC 0351

DSC 0354

Baadhi ya Wageni waalikwa upande wa Menejimenti na Viongozi wa Dowuta.

DSC 0360

Wanawake wa TPA wakifurahia siku yao.

DSC 0364

Meza kuu ikifurahia jambo katika hafla hiyo iliyofaana.

DSC 0371

Mwenyekiti wa DOWUTA Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Mashaka Karume akitoa vyombo mezani ikiwa ni ishara ya upendo katika siku ya Wanawake.

DSC 0372

Kaimu Mkurungezi wa Utumishi na Utawala, Bw. Mussa Msabimana akishiriki kutoa vyombo mara baada ya chakula cha jioni ikiwa ni ishara kuonesha kuthamini mchango wa Wanawake.

DSC 0374

Mkurugenzi wa Ugavi na Mikataba, Bw. Augustine Witonde nae hakubaki nyuma alishiriki ipasavyo kuwaaunga mkono Wanawake kwenye siku hiyo.

DSC 0376

Mkurugenzi wa Bandari, Bw. Freddy Liundi nae hakusita kuonesha kazi ya kina Baba ni pamoja na kuhudumia Wanawake ikiwa ni ishara ya upendo katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.

DSC 0378

Baadhi ya Wanakamati waliofanikisha hafla hiyo wakiwa nyuso za furaha na "wamedamshi" katika siku hiyo.

DSC 0381

Kaimu Meneja wa Rasilimaliwatu, Bi. Aminata Siraji Juma (kulia) na Mjumbe wa Kamati hakusita kuonesha tabasamu lake ikiwa ni ishara ya kuridhika na maandalizi ya hafla hiyo.