Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael ameipongeza TPA kwa kuongeza Shehena ya Mzigo katika Mwaka wa Fedha 2017/2018.

Naibu Katibu Mkuu Ametoa Pongezi Hizo Wakati wa Kikao Cha Baraza la Wafanyakazi lililofanyika Mjini Bagamoyo hivi karibuni. Katika Picha ni Matukio Mbalimbali Kuhusiana na Kikao Hicho.

picha 1

Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael (aliesimama) akitoa hotuba yake wakati akifungua Kikao cha 25 Baraza kuu la Wafanyakazi TPA.

picha 10

Mwenyekiti Baraza kuu la Wafanyakazi ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu TPA, Eng. Deusdedit Kakoko (kushoto) akizungumza wakati wa mkutano huo wa Baraza.

picha 7

Katibu Mkuu Chama cha Wafanyakazi ngazi ya Taifa, Bw. Jonathan Msoma akichangia jambo wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika Bagamoyo hivi karibuni.

picha 2

Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael (watatu kushoto) akitoa hotuba yake wakati akifungua Kikao cha 25 Baraza kuu la Wafanyakazi TPA.

picha 4

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza upande wa Menejimenti ya TPA.

picha 5

Baadhi ya Wajumbe Wawakilishi wa Baraza upande wa Chama cha Wafanyakazi.

picha 6

Baadhi ya Wajumbe Wawakilishi wa Baraza upande wa Chama cha Wafanyakazi.

picha 14

Baadhi ya Wajumbe Wawakilishi wa Baraza upande wa Chama cha Wafanyakazi.

picha 15

picha 9

picha 3

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael (kushoto) akiagana na Mwenyekiti Baraza kuu la Wafanyakazi ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu TPA, Eng. Deusdedit Kakoko.

picha 12

Wajumbe wa Baraza wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael.

picha 13

Wajumbe wa Baraza wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael.

picha 81

Wajumbe wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa mkutano.

picha 16

Wajumbe wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa mkutano.