Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (MB) hivi karibuni amekutana na Wafanyabiashara wa DRC kwa lengo la kupatia ufumbuzi changamoto ya kukwama kwa kontena za...
Kaimu Mwenyekiti Baraza la Wafanyakazi Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Ahmed Mchalaganya (katikati) akiongea jambo wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi Kamati ya Utendaji Kikao cha...
Chuo cha Bandari kitaanza rasmi kudahili Wanafunzi wapya kupitia mfumo wake mpya wa kidijitali ujulikanao kama “Student’s Information Management System (SIMS)”. Mfumo huo wa kidijitali umezinduliwa hivi...
Wabunge Watanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wametembelea Bandari ya Dar es Salaam Jumatatu, Februari 04, 2019 na kukutana na wadau mbalimbali wanaoshughulika na usafirishaji mizigo...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) Tanzania: World Bank Nods to Berth Construction At Dar Port By Abela Msikula WORLD Bank has appreciated progress of the Dar es Salaam Maritime...
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko tarehe 26 na 27 Januari, 2019 amekutana na kufanya mikutano na Wadau wa bandari katika Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha Akizungumza...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Mhandisi Isaak Kamwelwe (MB), ameagiza wahitimu 196 wa Chuo cha Bandari (181 wa Stashada na 15 wa Astashahada), kupewa nafasi za...
TPA YAENDELEA KUTOA FURSA ZA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI! Wanafunzi wa Chuo cha Biashara (CBE) na wengine kutoka shule za Boabab, Kinzudi na Twiga za jijini Dar...
TANZANIA PORTS AUTHORITY (TPA) BANDARI COLLEGE - DAR ES SALAAM 17TH GRADUATION CEREMONY The Management of Bandari College (BC) wishes to inform all graduands of Basic Certificate and...
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inapenda kuwataarifu waombaji kazi waliotuma maombi ya kujaza nafasi wazi sitini na nane (68) za kada...
JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb.NaEA.7/96/01/J/240 24 DESEMBA, 2018 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika...
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko akikagua Miundombinu ya Bandari ya Nyamirembe iliyopo Chato, Geita. Bandari hiyo inatarajiwa kuwa kitovu cha usafirishaji wa mazao na bidhaa kwa...
Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. TAN Puay Hiang (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bi. Nuru Mhando (kushoto) na baadhi...
Ijumaa, Novemba 30, 2018: Watendaji Wakuu wa Vyombo mbalimbali vya Ulinzi na Usalama kutoka Mataifa ya Afrika na China wametembelea Bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la...
Ijumaa, Novemba 30, 2018: Matukio mbalimbali katika picha kuhusiana na ziara ya siku moja ya Wadau wa Biashara ya Mafuta kutoka nchini Uganda katika Bandari ya Dar es...
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/22 26th November, 2018 VACANCIES ANNOUNCEMENT: On behalf of Tanzania Ports Authority (TPA),...
Click on below link/Bonyeza kwenye maelezo hapa chini: https://www.ports.go.tz/index.php/en/publications/quarterly-magazine-journal
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Tulia Ackson (MB) akisikiliza maelezo kuhusiana na shughuli mbalimbali za Bandari kutoka kwa Afisa Mawasiliano Mwandamizi,...
Meli ya Makasha RHL CALLIDITAS yenye urefu wa mita 260 na uapana a mita 37 huku ikiwa na kina mita 9 kwenda chini, yenye namba za Usajili IMO...
Timu Bandari ya Tanga imeibuka na ushindi wa jumla wa michezo ya Bandari Interports 2018 kwa kupata alama nyingi dhidi ya wapinzani wao Bandari ya Dar es Salaam,...
Michezo ya Bandari Inter-Ports Games kwa mwala 2018 inatarajiwa kufikia kilele chake siku ya Ijumaa, Oktoba 19 katika uwanja wa Jamhuri ambapo washindi mbalimbali watapatiwa zawadi za vikombe...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Stephen Kebwe Stephen azindua rasmi michezo ya Bandari. Katika picha ni matukio mbalimbali kuhusiana na uzinduzi rasmi wa michezo ya Bandari...
© 2019 Tanzania Ports Authority