MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA TANGAZO: Ndugu Wananchi mnatangaziwa kuwa siku ya Jumamosi tarehe 23/11/2019, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), itasafirisha mzigo wenye vipimo vikubwa...
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA Ndugu Wananchi mnatangaziwa kuwa siku ya Ijumaa tarehe 8/11/2019 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) itasafirisha Mzigo wenye vipimo vikubwa...
"DAR PORT" MABINGWA BANDARI INTER-PORTS GAMES 2019! Bandari ya Dar es Salaam imeibuka na ushindi wa jumla katika michezo ya Bandari 2019 kwa kuibuka na vikombe na medali...
MKUU WA MKOA WA MOROGORO AZINDUA MICHEZO YA BANDARI 2019! Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Loata Ole Sanare amezindua michezo ya 13 ya Bandari maarufu kama "Bandari...
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA TAARIFA KWA UMMA HAKUNA VITENDO VYA WIZI BANDARINI. IJUMAA OKTOBA 11, 2019 DAR ES SALAAM. Mapema leo katika Mitandao ya Kijamii hasa...
Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB), ametembelea Bandari ya Mtwara na kukagua jinsi ambavyo usafirishaji wa Korosho kwenda nje...
WAZIRI MKUU KUTEMBELEA BANDARI YA MTWARA LEO OKTOBA MOSI! Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) anatarajiwa kutembelea Bandari ya...
BODI YA WAKURUGENZI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA YATEMBELEA BANDARI YA MTWARA MKANDARASI WA UJENZI WA GATI AHIMIZIWA KUMALIZA KAZI KWA WAKATI Bodi ya wakurugenzi...
Please click on the link below to read full article: https://www.thecitizen.co.tz/news/Sh575bn-is-spent-each-year-on-boosting-ports/1840340-5226682-12801o0/index.html
Wafuatao wamefaulu usaili na kufanikiwa kuajiriwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania, hivyo mnatakiwa kufika Ofisi za Makao Makuu ya TPA zilizopo katika jengo la Bandari Tower ghorofa ya 32 kuchukua barua za Ajira.
The detailed GPN for year 2019/2020: DAR ES SALAAM PORT EXTERNAL USE HQ EXTENAL USE HQ EXTENAL USE CONTINUE TANGA PORT EXTERNAL USE MTWARA PORT EXTERNAL USE KYELA...
Wafanyakazi Bora kutoka Bandari za Mwanza, Tanga, Mtwara, Kyela na Kigoma wamefanya ziara ya siku tatu (3) katika Bandari ya Dar es Salaam na kukutana na Uongozi wa...
TANGA is the longest serving port in East Africa. It is a lighterage port with two shallow water berths. The visiting ocean going vessels are anchored at stream...
Waheshimiwa Madiwani na Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wametembelea Bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza shughuli mbalimali zinazofanya na Mamlaka ya Usimamizi wa...
Library Photo: The expansion of the three major ports in the Indian Ocean would cost Sh2.2 trillion President John Magufuli told workers during the May Day celebrations in...
Wanafunzi wa Kozi ya Ukamanda na Unadhimu kutoka nchini Burundi wametembelea Bandari ya Dar es Salaam Jumatano, Aprili 24, 2019 kwa lengo la kujifunza shughuli za Bandari katika kuhudumia...
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael ameipongeza TPA kwa kuongeza Shehena ya Mzigo katika Mwaka wa Fedha...
THE government said yesterday is in the process to construct a cruise terminal at the Dar es Salaam port following increasing number of cruise ships calling at the...
FOR MORE INFORMATION CLICK ON PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT LINK BELOW: http://www.ajira.go.tz/wp-content/uploads/2019/04/VACANCIES-ANNOUNCEMENT-TANZANIA-PORT-AUTHORITY-6-April-2019.pdf
FOR MORE INFORMATION CLICK ON PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT LINK BELOW: http://www.ajira.go.tz/wp-content/uploads/2019/04/TANGAZO-LA-TPA-RE-ADVERTISED-04-04-2019.pdf
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uganda ya Fedha, Mipango na Uchumi, Mhe. Henry Musasizi akizungumza na Menejimenti ya Bandari ya Dar es Salaam wakati wa ziara yao...
© 2019 Tanzania Ports Authority