Wafanyakazi Bora kutoka Bandari  za Mwanza, Tanga, Mtwara, Kyela na Kigoma wamefanya ziara ya siku tatu (3) katika Bandari ya Dar es Salaam na kukutana na Uongozi wa Bandari kwa lengo la kubadilishana uzoefu katika utendaji kazi lengo likiwa ni kuendeleza ubora wao katika utendaji kazi na kuleta ushindani utakaoleta tija na ufanisi ndani ya Mamlaka.

Mkurugenzi Msaidizi Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Elihuruma Lema akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Freddy Liundi aliwataka Wafanyakazi bora  kudumisha nidhamu na Uadilifu katika utumishi wao na kuwa chachu ya Kuongeza na ari katika utendaji kazi hatimaye kuleta tija ndani ya Mamlaka.

WAFANYAKAZI BORA 9

WAFANYAKAZI BORA 1

WAFANYAKAZI BORA 2

WAFANYAKAZI BORA 3

WAFANYAKAZI BORA 4

WAFANYAKAZI BORA 6

WAFANYAKAZI BORA 7

WAFANYAKAZI BORA 8