Waheshimiwa Madiwani na Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wametembelea Bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza shughuli mbalimali zinazofanya na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania katika kutoa huduma za usafirishaji wa mizigo.

Wakiwa katika Bandari hiyo Ujumbe huo ulitembelea eneo la mradi wa Upanuzi wa Bandari DMGP, Gati 1-7 na pia kutembelea midaki "scanner" inayotumika kukagua mizigo iliyo katika Kitengo cha Makasha "Container".

0a20d931 66af 4a02 bc56 da707ea8bfbb

4beef7c6 fe82 45ab baa2 538be490973c

340d2212 a65c 404a afe1 48ee608a987f

856e5b02 0c0c 4e8a 940b 1a349d6d96f5

c5d3c66b 4c6d 45d6 8155 f2e337e1fff6