SINGAPORE 4

Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. TAN Puay Hiang (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bi. Nuru Mhando (kushoto) na baadhi ya Watendaji wa Makao Makuu ya TPA pamoja na Bandari ya Dar es Salaam.

SINGAPORE 2

Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. TAN Puay Hiang (kulia) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bi. Nuru Mhando (kushoto) wakati akimpa maelezo yanayopatikana kwenye majarida ya TPA.

SINGAPORE 3

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bi. Nuru Mhando (kushoto) akimshukuru Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. TAN Puay Hiang kwa kutembelea Makao Makuu ya TPA kwa lengo la kubadilishana uzoefu kupitia uchumi wa kidiplomasia.

SINGAPORE 5

Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. TAN Puay Hiang akikabidhi zawadi kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bi. Nuru Mhando (kushoto).

SINGAPORE 6

Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. TAN Puay Hiang akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi wa Sheria wa TPA, Bi. Leticia Mutaki (kushoto).

SINGAPORE 1

Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. TAN Puay Hiang akikabidhi zawadi kwa Afisa Mipango Mkuu wa TPA, Bw. Alfred Matuntera.

SINGAPORE 7

Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. TAN Puay Hiang akikabidhi zawadi kwa Msaidizi wa Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Elihuruma Lema.

SINGAPORE 8

Afisa Mipango Mkuu wa TPA, Bw. Alfred Matuntera akitoa maelezo kuhusiana na miradi mbalimbali ya TPA kwa Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. TAN Puay Hiang wakati alipofanya ziara yake Makao Makuu ya TPA hivi karibuni.