IMG 20181101 WA0014

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Tulia Ackson (MB) akisikiliza maelezo kuhusiana na shughuli mbalimbali za Bandari kutoka kwa Afisa Mawasiliano Mwandamizi, Bw. Focus Mauki. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Eng. Evaristi Ndikilo.

IMG 20181031 WA0025

Waziri wa Nishati, Mhe. Dk. Medard Kalemani (MB) akisikiliza maelezo kuhusiana na shughuli mbalimbali za Bandari kutoka kwa Afisa Mawasiliano Mwandamizi, Bw. Focus Mauki. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Eng. Evaristi Ndikilo.

IMG 20181101 WA0012

Msanii wa muziki Tanzania Afande Sele akitoa maoni yake mara ya kutembelea Banda la TPA katika maonesho ya viwanda na biashara mkoani Pwani.

IMG 20181101 WA0015

Wanafunzi wa shule ya msingi mkoani iliyopo Kibaha mkoa wa Pwani wakisikiliza maelezo kuhusiana na miradi ya Bandari.

IMG 20181101 WA0013

IMG 20181030 WA0043

IMG 20181030 WA0045

IMG 20181030 WA0046

IMG 20181101 WA0011