Timu Bandari ya Tanga imeibuka na ushindi wa jumla wa michezo ya Bandari Interports 2018 kwa kupata alama nyingi dhidi ya wapinzani wao Bandari ya Dar es Salaam, Makao Makuu, Bandari za Maziwa na Bandari ya Mtwara.

Mabingwa hao walishiriki kikamilifu katika mchezo wa soka, kuvuta kamba, kikapu, pete, bao na riadha.

Katika picha ni matukio mbalimbali kuhusiana na tukio la kukabidhi zawadi za vikombe kwa mshindi wa jumla na washindi mbalimbali.

Michezo hiyo ilifanyika mjini Morogoro katika uwanja wa Jamhuri na Bwalo la JKT la Umwema kuanzia Oktoba 15 na kuhitimishwa Oktoba 19, 2018.

DSC 8191

 Wanamichezo wa Bandari ya Tanga wakipokea zawadi ya kikombe cha ushindi wa jumla.

DSC 8215

DSC 8066

DSC 8072

DSC 8078

 DSC 8082

DSC 8084

DSC 8092

DSC 8097

DSC 8100

DSC 8103

 DSC 8112

DSC 8117

DSC 8119

DSC 8126

DSC 8131

DSC 8138

DSC 8139

DSC 8144

DSC 8158

DSC 8164

 

DSC 8166

DSC 8176

DSC 8224

DSC 8252

Wanamichezo wakongwe ambao wanatarajia kustaafu rasmi utumishi ndani ya Mamlaka wakiwa katika picha ya pamoja. Michezo ya mwaka huu ni ya mwisho kwao kushiriki wakiwa watumishi wa TPA.

DSC 8205