Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Kamati ya Miundombinu wametembelea Bandari ya Mtwara na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa Gati namba 2, ujenzi wa Gati Bandari ya Lindi, mradi wa marekebisho ya barabara, ujenzi wa minara na miradi mingine ya maendeleo.

 

image01 mtwara10

Wajumbe hao ambao waliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Prof. Ignas Rubaratuka walipatiwa maelezo kuhusiana na miradi hiyo kutoka kwa Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu (Miundombinu), Eng. Karim Mattaka.

image01 mtwara5

Wajumbe wa Kamati hiyo walioshiriki katika ziara hiyo ya kazi ni pamoja na Bi. Jayne Nyimbo, Bw. Renatus Mkinga na Bw. Aziz Kilonge.

 

image01 mtwara4