Na Leonard Magomba

Dkt George Fasha ameteuliwa kukaimu nafasi ya Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA).

Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Fasha alikuwa Mhadhiri wa Chuo cha Kilimo Sokoine kwenye Ndaki (Colleage of Economics and Business Studies.