Wafuatao wamefaulu usaili na kufanikiwa kuajiriwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania, hivyo mnatakiwa kufika Ofisi za Makao Makuu ya TPA zilizopo katika jengo la Bandari Tower ghorofa ya 32 kuchukua barua  za Ajira.