NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO, MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AMEZINDUA MTAMBO WA KISASA WA KUFUNDISHIA CHUO CHA BANDARI UNAOFAHAMIKA KAMA "SIMULATOR"!

PIC 6

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Atashasta Nditiye (wapili kushoto) akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Chuo, Dk. Joseph Kakeneno (kushoto) mara baada ya kuzindua mtambo wa kisasa wa kufundishia (Simulators) katika Chuo cha Bandari.

PIC 2

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi, Deusdedit Kakoko akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Atashasta Nditiye.

PIC 3

PIC 13

Mtambo maalumu wa kisasa wa kufundishia Wanafunzi wa Chuo cha Bandari (Simulator).

PIC 4

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPA, Prof. Ignas Rubaratuka (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Bandari na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko wakifurahia jambo wakati wa kupata maelezo ya Wataalamu kuhusiana na uendeshaji wa mtambo wa kisasa wa kufundishia kwa vitendo (Simulator) uliopo Chuo cha Bandari.

PIC 14

Mtambo maalumu wa kisasa wa kufundishia Wanafunzi wa Chuo cha Bandari (Simulator).

PIC 16PIC 17PIC 18

Mtambo maalumu wa kisasa wa kufundishia Wanafunzi wa Chuo cha Bandari (Simulator).